NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Kila baada ya miaka kumi Tanzania bara na visiwani tunapiga kura anaingia Rais mwengine.Kiburi sio jambo jema maana wapo Marais wa ulimwengu na wafuasi wao waliamini hakuna wakuwaondoa madarakani matokeo yake waliondolewa kwa aibu kubwa ikiwemo kuburuzwa mtaani kama vibaka na wengine kutoroka kwa kujifunga baibui za wanawake ili wasijulikane.
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
Mzee Seif unamuona kama mwanasiasa, ila kwa wazalendo wanamuona kama mhaini tu,mwenye tamaa ya kuona anaivunja Tanzania vipande vipande kwa maslai ya masultan.Mkuu hapo ndipo unapokosea unaposema hawezi kuwa Rais hata iweje.
Ina maana wananchi wa Zanzibar wakiamua Maalim Seif awe Rais wao wewe utatengua?
Bora angewashauri nchi yake waache kuua raia wake weusi kama kuku.hii nchi yetu atuachie sie wenyewe na amani tuliyonayo tumitengeneza wenyewe bila waoNchi yetu ipo right below the microscope - hachomoki mtu mwaka huu haki ya nani!
View attachment 1613605
Unaongelea amani ipi ndugu yangu?Bora angewashauri nchi yake waache kuua raia wake weusi kama kuku.hii nchi yetu atuachie sie wenyewe na amani tuliyonayo tumitengeneza wenyewe bila wao
Yaah we are doing the same, praying for peaceful, fair 03/11/2020 elections in the US so as to prevent the repeat of "BLACK LIVES MATTER" scenarios, your excellence Mr. Ambassador!Nchi yetu ipo right below the microscope - hachomoki mtu mwaka huu haki ya nani!
View attachment 1613605
Hawana UBAVU huo kwani hiyo si kwa maslahi yao. Wao "wana pima maji kwa fimbo siyo kwa miguu".US wanahitajika kum Gaddafi mtu hapa fasta!
Kesho ndiyo mwisho wenu wa kelele hapa JF mtabaki kusema tumeibiwa!Nchi yetu ipo right below the microscope - hachomoki mtu mwaka huu haki ya nani!
View attachment 1613605
Endelea.kujidanganyaMnaongeaga tu kuhusu mahakama za kimataifa ila amjui lolote.
Kaulizeni wananchi wa Rwanda,Burundi,Uganda,Congo kwanini marais wao hawajapelekwa hizo mahakama za kimataifa ilhali wameuwa maelfu ya watu badala yake wanakaribishwa kwenye hizo nchi za mabeberu kwenda kula good time.
China wanasubiri viungo vya binadamuWachina hutawasikia wakisema kitu hata wakifa watu laki 1 .....!!
Bora Beberu ...!!
Be alarmed by the number of Blacks killed by police in the US too. Even your president has doubts in accepting defeat by Biden (if he wins). The integrity of US elections in US next week is also questionable.Nchi yetu ipo right below the microscope - hachomoki mtu mwaka huu haki ya nani!
View attachment 1613605