Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ambassador of House Ten kwa Kiswahili ni nini?
Balozi wa nyumba kumi
Tatizo wazungu hawana ili neno balozi wa nyumba kumi hivyo ni kuunga unga au kutumia busara tu kuweka neno safi la english
Ten cells leader
Rap Artist (Barozi) of ten houses! Teh teh
ni ten cell leaderCell Leader ndiyo tafsiri ya Kiswahili
kiongozi wa mabetri kumi