Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Umechelewa mno kwani kifutio Cha yaliyoandikwa moyoni gen z walikimeza! Mwambie Kihongosi hawezi kuyafuta yaliyopo kwenye mioyo ya watanganyika atafute project nyingine ya kuwapa!No soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌
Hutaweza na save your bundle japo umewekewa na kihongozi! Na Kama ni wapumbavu kinakuhaisha nini juu Yao? Huo ni upunguani!GEN Z NI KIZAZI CHA WATU WAPUMBAVU AMBAO WAMELELEWA NA HOUSE GIRS NA KUSOMA SHULE ZA KATA
MUDA HUU NIPO HAPA KUWAELIMISHA NACHOMA BUNDLE NA MUDA ILI WASIJE WAKAWA CHAKULA CHA MAMBA
N.B No soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌
Balozi wa Tanzania nchini Uswidi, Mhe. Mobhare Matinyi (wa nne kutoka kushoto mstari wa mbele), akiwa pamoja na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Raddy Energy ya Tanzania, Ramadhani Mlanzi (kulia kwake), katika picha ya pamoja na wawakilishi wa taasisi za fedha za Serikali ya Uswidi, kampuni ya Siemens Energy, Benki ya CRDB, Ubalozi na Raddy Energy, jijini Stockholm, mara baada ya kikao kilichofanyika siku chache zilizopita kukamilisha mchakato wa ununuzi wa mitambo minne ya kuzalisha umeme wa gesi itakayoletwa nchini ili kuimarisha uzalishaji wa umeme nchini.
View attachment 3517720
Dogo naona umechukua zamu ya Lucas Mishanga.GEN Z NI KIZAZI CHA WATU WAPUMBAVU AMBAO WAMELELEWA NA HOUSE GIRS NA KUSOMA SHULE ZA KATA
MUDA HUU NIPO HAPA KUWAELIMISHA NACHOMA BUNDLE NA MUDA ILI WASIJE WAKAWA CHAKULA CHA MAMBA
N.B No soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌
Edit hapo kwenye HOUSE GIRS mkuu wengine inatukataGEN Z NI KIZAZI CHA WATU WAPUMBAVU AMBAO WAMELELEWA NA HOUSE GIRS NA KUSOMA SHULE ZA KATA
MUDA HUU NIPO HAPA KUWAELIMISHA NACHOMA BUNDLE NA MUDA ILI WASIJE WAKAWA CHAKULA CHA MAMBA
N.B No soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌
Napambania uhai wa VIJANA mkuuDogo naona umechukua zamu ya Lucas Mishanga.
Upo moto sana kutetea upuuzi wa mbogamboga.
Mkuu kwa heshima uliyejijengea hapa jukwaanii stop this madness..topic hapa ni kikao cha randy energy na embassy..kwani Kuna maandamano tena mkuuNo soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌
Hauwezi kuelewa mkuu Ila watakapokufa vijana ndo utaelewaMkuu kwa heshima uliyejijengea hapa jukwaanii stop this madness..topic hapa ni kikao cha randy energy na embassy..kwani Kuna maandamano tena mkuu
Kampuni ya Raddy Energy ya Tanzania Kununua Mitambo ya Uzalishaji Umeme Kutoka Kampuni ya Siemens ya Uswidi Kwa Dola Milioni 320
View attachment 3517733
About Our Company
Raddy Fiber Manufacturing (T) Limited, a subsidiary of our parent company, is strategically located in Mwanambaya, a part of the Mkuranga district within the Coast Region, conveniently situated just 25 kilometers from Dar-es-Salaam.
Our unwavering commitment revolves around the production of premium-quality fiber optic cables and associated accessories. Our extensive expertise spans across diverse sectors, including industrial, distribution, manufacturing, telecommunications, security, and commercial projects. This scope of operation extends beyond Tanzania, encompassing East and Central Africa.
We take pride in our strategic partnerships with esteemed Mobile Network Operators and the Ministry of Education, Science, and Technology of the Government of Tanzania, reinforcing our standing as a trusted and reputable industry collaborator.
FIBER CABLE
View: https://m.youtube.com/watch?v=LZLDLhUHIIcRADDY Energy Tanzania :
CEO Mr. Ramadhani Mlanzi,
Mr. Herman Luhanga (Head of Projects and Planning) and Mr. Fredrick Mtui (Head of Sales and marketing).
RADDY Energy HQ Mkuranga, Pwani
Tanzania
serikali imejenga dam mpya kugenerate umeme mwingi..hawa juakali na megawatt hizo ndogo za nini? watamuuzia nani? sijaona wawakilishi wa TANESCO hapo au wizara ya nishati..unaanza uwekezaji bila kuwa na PPA? kwa nini wasione need ya kutengeneza nishati ya kupikia? hata hao ubalozi wmeshindwa kuona kwa hiyo scale wanayoanza nayo umeme wao utakuwa na gharama za juu? biashara za udalali hizi..kwa hiyo wmewafuata siemens ndio wafue umeme..?Balozi wa Tanzania nchini Uswidi, Mhe. Mobhare Matinyi (wa nne kutoka kushoto mstari wa mbele), akiwa pamoja na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Raddy Energy ya Tanzania, Ramadhani Mlanzi (kulia kwake), katika picha ya pamoja na wawakilishi wa taasisi za fedha za Serikali ya Uswidi, kampuni ya Siemens Energy, Benki ya CRDB, Ubalozi na Raddy Energy, jijini Stockholm, mara baada ya kikao kilichofanyika siku chache zilizopita kukamilisha mchakato wa ununuzi wa mitambo minne ya kuzalisha umeme wa gesi itakayoletwa nchini ili kuimarisha uzalishaji wa umeme nchini.
View attachment 3517720