JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Yaani vibinti vidogo kabisa ndiyo huwa vinatupiga ban. Not fair aisee.Leo, Machi 14, 2024, JamiiForums imetembelewa na Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania, Peter Huyghebeart
Ujumbe wa Ubalozi umepata nafasi ya kukutana na Uongozi na Watendaji wa JF na kuona shughuli mbalimbali
ofisi ya makomando mods wapiga ban😁
Mkao siyo sawa! Mwenyeji hawezi kuwa mgeni au Balozi kawakaribisha JFLeo, Machi 14, 2024, JamiiForums imetembelewa na Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania, Peter Huyghebeart
Ukipigwa BAN ndio unawekwa huko kwenye hicho chumba🤣🤣🤣🤣