Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Tayari washatembelewa kwny parking!!
Au Mwijaku.
MI sijaelewa Mkuu. Infatino na Wenger walitembelea ofisi za Simba na kusaini kitabu cha wageni kama hii habari inavyosema au nimtag Aden Rage?Utoto raha sana.
Simba walikuwa na Infatino Rais wa FIFA Dunia nzima
Walikuwa na Wenger moja kati ya Makocha wakubwa Duniani.
Ndio maana mnaambiwa wenye nazo ni wawili tu
Balozi hiyo tai kaupiga mwingi.Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar amewasili ofisi za Young Africans SC na kupokelewa na Rais Hersi Said, Makamu wa Rais Arafat Haji na Watendaji wote kwa ajili ya kuongelea mambo mbalimbali ikiwemo mahusiano kati ya Klabu na Uingereza hususani katika maendeleo ya soka letu. View attachment 2799038View attachment 2799039View attachment 2799040View attachment 2799041
Huyo balozi kaanzia Simba masaki, then Bunju now ndo jangwaniYanga wapo vizuri idara ya public relations, watu waliowekwa humo wanajua kazi yao
Hao mwenyeji wao alikuwa CAF wala si Tifuatifua au Simba. Ule mchezo ulikuwa chini ya CAF.MI sijaelewa Mkuu. Infatino na Wenger walitembelea ofisi za Simba na kusaini kitabu cha wageni kama hii habari inavyosema au nimtag Aden Rage?
Wako njiani wanakuja na maneno yao mengi mengi.
Hao walikuwa wageni wa champion league kijanaUtoto raha sana.
Simba walikuwa na Infatino Rais wa FIFA Dunia nzima hata mwezi haujapita umeisha sahau????
Na alisema kauli mbiu ya Nguvu moja
Walikuwa na Wenger moja kati ya Makocha wakubwa Duniani.
Ndio maana mnaambiwa wenye nazo ni wawili tu
πππ......ona sasa kwanini usingefuatilia kuwa balozi kaanzia simba asubuhi.Yanga wapo vizuri idara ya public relations, watu waliowekwa humo wanajua kazi yao
Siku zote anaanza mkubwa then anafuata mdogo..