Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Balozi wa Urusi nchini Poland Sergei Adreev na maafisa Ubalozi walioambata nae walikumbana na nguvu ya umma kutoka kwa waandamanaji wanaoiunga mkono Ukraine baada ya kumwagiwa rangi ya damu mwilini mwao ikiambatana na zomea zomea kama ishara ya kupinga uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
Balozi huyo alikumbana na masaibu hayo siku ya Ushidi ya Russia ambayo huadhimishwa tarehe 9 May kila mwaka alipokuwa akitaka kuweka shada la Maua Jijini Warsaw Poland.
Huyu mzee Putin amewaponza wenzake sasahivi wanaishi kama digidigi.