Haki ya nani media zinatuvuga vile zinataka. Mwisho wa siku akili inajaa takataka tunazolishwa na media.
Tusiposhtuka tutakuwa mazombie.
Tunaamini kile media zinataka tuamini.
Tunafikiri kile media zinataka tufikiri.
ASANTE SANA KWA WALE MLINIFANYA NIJIFUNZE MEDITATION, HAKIKA NAYAONA MATUNDA KATIKA KUJITAMBUA!!!