Balozi wa Zambia nchini Afrika Kusini afukuzwa kazi baada ya kuamuru Wafanyakazi wake wa Kiume wamnyoe nywele sehemu za siri

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amemfuta kazi Balozi anayeiwakilisha Nchi hiyo Afrika kusini Bi. Mazuba Monze baada ya kutoa maagizo kwa Wafanyakazi wake wa kiume wamnyoe sehemu zake za Siri.

Inaelezwa kuwa Balozi huyo alitoa maagizo hayo ambayo siyo ya kidiplomasia kwa Wafanyakazi wake wa kiume licha ya wafanyakazi hao kukataa na nakueleza kuwa siyo sehemu ya majukumu yao ya kuwanyoa Mabalozi hasa sehemu zao za siri.

Baada ya wafanyakazi hao kutotii maagizo hayo Balozi huyo aliamua kuwafuta kazi Wafanyakazi hao na kulifikisha swala hilo katika Wizara ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

My Take
Ubinadamu na Utu havipo tena

 
kiburi cha madaraka

sema nimependa hapo wafanyakazi walipo kataa na kumwambia sio majukumu yao

jiulize wangekuwa wabongo wana hiyo jeuri ya kukataa zaidi wangefurahia uchawa na kuiona mbunye ya balozi

uzee nao unakujaga na vituko vyake asa lengo la balozi ilikuwa ni nini
 
Yaani hao jamaa wameiacha bahati laivu kabisa...🤨
 
Kila mtu ana ukichaa wake..
 
Hapo tunasema ni matumizi mabaya ya madaraka, elimu na akili.
Ubinadamu ni kazi...
Uchawi upo kila mahali, na mchawi si lazima apae bali matendo yake ya ajabu ajabu kama hayo yanayokiuka mila na desturi za kiafrika
 
Alikuwa na rasta huko chini hadi aagize mkasi wa mchongoma au ndo akili ilikosa afya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…