implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 806
- 926
Sio simple hvo mkuuUkute balozi alitaka awaambukize virusi vijana wa watu!!
Ahahahha daaah hatareee hyoPersonal hata Mimi ningekataa.
My dignity.
Wametuangusha team kataa ndoa...🤣Si wangemnyoa tu jamani
Yeah,pesa mkuukiburi cha madaraka
Kishapita monopause , sidhani kama ana ugwadu kama unavyosema.Yaani nyege haina adabu maze...🤣
Huyo balozi domo zege, badala ya kuwaambia ukweli Ametuangusha sana wapenda mishañgazi.Kabisa hao jamaa hawakusoma cuba....balaozi alikuwa anataka wampelekee moto.
Kweli hao mabwege sana. Fursa imewapita
Uzeeni kuna mambo! Inawezekana hii sura ya baba imechangia madogo kukataa ofa yake!!Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amemfuta kazi Balozi anayeiwakilisha Nchi hiyo Afrika kusini Bi. Mazuba Monze baada ya kutoa maagizo kwa Wafanyakazi wake wa kiume wamnyoe sehemu zake za Siri.
Inaelezwa kuwa Balozi huyo alitoa maagizo hayo ambayo siyo ya kidiplomasia kwa Wafanyakazi wake wa kiume licha ya wafanyakazi hao kukataa na nakueleza kuwa siyo sehemu ya majukumu yao ya kuwanyoa Mabalozi hasa sehemu zao za siri.
Baada ya wafanyakazi hao kutotii maagizo hayo Balozi huyo aliamua kuwafuta kazi Wafanyakazi hao na kulifikisha swala hilo katika Wizara ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
My Take
Ubinadamu na Utu havipo tena
Haikua kunyoa tu sema busara inatumika sana ..Upwiru huu acheniRais wa Zambia Hakainde Hichilema amemfuta kazi Balozi anayeiwakilisha Nchi hiyo Afrika kusini Bi. Mazuba Monze baada ya kutoa maagizo kwa Wafanyakazi wake wa kiume wamnyoe sehemu zake za Siri.
Inaelezwa kuwa Balozi huyo alitoa maagizo hayo ambayo siyo ya kidiplomasia kwa Wafanyakazi wake wa kiume licha ya wafanyakazi hao kukataa na nakueleza kuwa siyo sehemu ya majukumu yao ya kuwanyoa Mabalozi hasa sehemu zao za siri.
Baada ya wafanyakazi hao kutotii maagizo hayo Balozi huyo aliamua kuwafuta kazi Wafanyakazi hao na kulifikisha swala hilo katika Wizara ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
My Take
Ubinadamu na Utu havipo tena
Bado ajafikia monopause mkuuKishapita monopause , sidhani kama ana ugwadu kama unavyosema.
MnooooHuyo balozi domo zege, badala ya kuwaambia ukweli anataka mkuyenge yeye anasingizia mavuzi.
Ametuangusha sana wapenda mishañgazi.
Miaka 45 + kapita, hana hedhi hivyo hata estrogen zake zimeshuka, hawazi ngono sasa ni mapepo ndio yalimfanya atake kunyolewa.Bado ajafikia monopause mkuu
Aisome mzabzab 😊Aasalaleeee hapo Poor Brain analaani vikali na kuona hao jamaa ni mandezi, ndgu yangu Poor Brain angeipata hiyo nafasi huyo bibi asingemaliza sentensi tayari vifaa vya kunyolea vipo mkononi.
Kumbe menopause ni costant age 45 tuu mkuuMiaka 45 + kapita, hana hedhi hivyo hata estrogen zake zimeshuka, hawazi ngono sasa ni mapepo ndio yalimfanya atake kunyolewa.