Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Jamaa yeye ajali kuwa anasula mbaya au laaah yeye ana laani tuu πππAisome mzabzab π
Hatare sanaaJamaa yeye ajali kuwa anasula mbaya au laaah yeye ana laani tuu πππ
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amemfuta kazi Balozi anayeiwakilisha Nchi hiyo Afrika kusini Bi. Mazuba Monze baada ya kutoa maagizo kwa Wafanyakazi wake wa kiume wamnyoe sehemu zake za Siri.
Inaelezwa kuwa Balozi huyo alitoa maagizo hayo ambayo siyo ya kidiplomasia kwa Wafanyakazi wake wa kiume licha ya wafanyakazi hao kukataa na nakueleza kuwa siyo sehemu ya majukumu yao ya kuwanyoa Mabalozi hasa sehemu zao za siri.
Baada ya wafanyakazi hao kutotii maagizo hayo Balozi huyo aliamua kuwafuta kazi Wafanyakazi hao na kulifikisha swala hilo katika Wizara ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
My Take
Ubinadamu na Utu havipo tena
Ajabu sana, Sasa wangeombwa hela ingekuwaje?Wanaume wanapungua kwa kasi sanaa..!
Mbunye hii hapa halafu unakodolea tu macho
Sasa angekuwa ni bint m'bichi 18 miaka wangegoma!!!Wazambia wana vituko aisee.Yule mwingine bwana jela kafungulia wafungwa wakale mwaka mpya.Huyu balozi anawashikisha vuzi juniors.
Tunasema mwaka umeanza na mguu mbaya π€£Nilichogundua huu mwaka una mambo mengi sana mkuu π
Tuvumiliane
Mkuu kilimo kipewe heshima yake! Kutaja neno kilimo ndani ya uzi kama huu ni kukidharaulisha sana sio tu sekta iliyoajiri mamilioni ya watanzania bali pia inaifanya dunia iendelee kuwepo.Mkuu utuache..... wehamia jukwaa la dini na kilimo huko...π
MImi kwa kuwa ni nje ya kazi ningeomba anipe advance ya USD tutazokubaliana. Ukiangalia vizuri madaktari wanachambua hivyo vitu mara nyingi tu kwenye kazi zao. Kwa hiyo ni kama kazi nyingine ila sasa hisia kuzizimisha ndio mtihani.Ninge resign mkuu. Ila sasa ungekuwa wewe...π π π
Weweunajua nyapu ya mzambia mzee ilivyo mbayaweye itakuwa una lako unataka ukapigie punyetto
Unatamani ungepata hii kaziYaani nyege haina adabu maze...π€£
Ahaaaa kweli mkuu??Wazambia wana vituko aisee.Yule mwingine bwana jela kafungulia wafungwa wakale mwaka mpya.Huyu balozi anawashikisha vuzi juniors.
Hallo kenzy unajua umenivunja mbavu mwenzio kwa comment yako hii.sijui kwanini nasoma uzi huku abdala kichwa wazi kainuka!