Kishapita au yupo monopose?Kishapita monopause , sidhani kama ana ugwadu kama unavyosema.
acha tu mkuu sisi wengine ni mashetani!, unasimuliwa dhambi, mdhambi nae ananyanyuka!Hallo kenzy unajua umenivunja mbavu mwenzio kwa comment yako hii.
Alafu kuna mshamba mmoja juu huko anaongelea mambo ya monoposeView attachment 3194096View attachment 3194097View attachment 3194097
Katika hali ya kushangaza, Kamishna Mkuu wa Zambia nchini Afrika Kusini, Bi Mazuba Monze, amefutwa kazi na Rais Hakainde Hichilema. Kufukuzwa huko kumekuja baada ya madai kuwa Bi. Monze aliomba mfanyakazi wa Zambia amnyoe sehemu zake za siri, jambo ambalo mfanyakazi huyo aliliona kuwa halikubaliki na si sehemu ya majukumu yao.
Duru za habari zinasema kuwa mfanyikazi huyo alikataa kutekeleza ombi hilo na kupelekea Bi Monze kusitisha kazi yao kwa madai ya kutotii na kutotii. Hata hivyo, mtumishi huyo alikata rufaa dhidi ya uamuzi huo na kulifikisha suala hilo kwenye Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Uchunguzi kuhusu madai hayo ulifanyika, na baada ya kuthibitishwa, Rais Hichilema alimfuta kazi mara moja Bi Monze. Tukio hilo limeibua sintofahamu, huku wengi wakihoji hukumu na mwenendo wa Kamishna Mkuu huyo wa zamani.
Katika hali ya kushangaza, Mzambia mwenye wasiwasi anayeishi Afrika Kusini amejitokeza, akidai kuwa madai dhidi ya Bi Monze huenda yalitiwa chumvi au yametungwa na wapinzani wake. Mtu huyo anadai kuwa kampeni ilizinduliwa dhidi ya Bi. Monze, iliyohusisha ripoti za uwongo na uzushi, ambayo hatimaye ilisababisha kutimuliwa kwake.
Huku hali inavyoendelea, inabakia kuonekana ni hatua gani zaidi zitachukuliwa na matokeo gani Bi Monze atakabiliana nayo. Jambo moja ni la hakika, hata hivyo: tukio hilo limeacha doa katika sifa ya kidiplomasia ya Zambia na kuibua maswali kuhusu mienendo ya wawakilishi wake nje ya nchi.
Wamenishangaza sana majamaa kweli kwenye miti hakuna wapiga
Wewe ni binti! Ukifika menopause, ukumbuke hii comment yangu.Kishapita monopause , sidhani kama ana ugwadu kama unavyosema.
Baloz kaomba kunyolewa balozi anyoleweJamaa hakujua lengo la balozi ni nn, je kama alitegesha kamera jamaa aingie chumbani alafu balozi apige kelele za kubakwa? Huoni msela aliangalia kwanza miaka 30 jela?
Monopause ni 45 +Kishapita au yupo monopose?
Maana kupita means kawaje sasa
Ndio maana vijana wengi wanaendeshwa kama mazuzu tu.Hapa ndio utagundua kuwa Kuna mataifa bado yana vijana Wana weledi katika mataifa yao,ingekuwa ni vijana wa bongo ingekuwa ni tatizo kubwa
Loh, sikufahamu hilo.Wewe ni binti! Ukifika menopause, ukumbuke hii comment yangu.
Nyege hazihusiani na menopause kwa wanawake wa siku hizi (Modern women). Kutokana na haya madawa ati ni ya kusaidia yanarejesha kwa nguvu za ajabu nyege. Tunawaona wake zetu wanavyohangaika kama wasichana wa miaka 17.
Sasa na hilo umbo na sura unaanzia wapi kumnyoa huyo kwanza nani atakubsli. Unadhani angekuwa kama yule wenu wa kule Switzerland kuna mtu angegoma?Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amemfuta kazi Balozi anayeiwakilisha Nchi hiyo Afrika kusini Bi. Mazuba Monze baada ya kutoa maagizo kwa Wafanyakazi wake wa kiume wamnyoe sehemu zake za Siri.
Inaelezwa kuwa Balozi huyo alitoa maagizo hayo ambayo siyo ya kidiplomasia kwa Wafanyakazi wake wa kiume licha ya wafanyakazi hao kukataa na nakueleza kuwa siyo sehemu ya majukumu yao ya kuwanyoa Mabalozi hasa sehemu zao za siri.
Baada ya wafanyakazi hao kutotii maagizo hayo Balozi huyo aliamua kuwafuta kazi Wafanyakazi hao na kulifikisha swala hilo katika Wizara ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
My Take
Ubinadamu na Utu havipo tena
Tatizo kubwa wanawake huwa ni wanafiki, hawasemi ukweli. Sisi tunaona sasa wake zetu. Usipokuwa mwangalifu anatafuta Kiben10. Hivi hujawahi jiuliza ni kwanini wanawake wakizeeka wanakuwa bossy hasa wachagga?Loh, sikufahamu hilo.
Wanawake tunayumba-yumba kama mbayuwayu na mashabiki wa Lissu.
D
Yaani upele huwapataga wasio na kucha aiseee....π
Kabisa hao jamaa hawakusoma cuba....balaozi alikuwa anataka wampelekee moto.
Kweli hao mabwege sana. Fursa imewapita
Waulize watakuambia...we unadhani wanaoitwa mashangazi ni akina nani...Wana upwiru wa kufa mtuMonopause ni 45 +
Kapia maana yake homon/vichocheo vya kutaka ngono havipo tena, hana hamu ya mume.
Mumewe alikuwa wapi?Bi. Mazuba Monze baada ya kutoa maagizo kwa Wafanyakazi wake wa kiume wamnyoe sehemu zake za Siri.
Noma sanaHiki kitendo cha vijana kukataa nafasi adhimu kama hii wallah hawa wakifika kwa Mungu baba yaani hakuna maelezo ni moto tuu
Noma sana!Kwanin asihamishiwe Guinea π¬π³ kwa bwana baltazar engonga itakuwa vibe sana