sasa cha ajabu nini? amerudi ndio, wewe ulitaka asirudi? don't be biased na wazungu wenu hao, ukiona mzungu kamchukia mtu na wewe unamchukia. tatizo la zimbabwe kila mtu analifahamu. lakini cha kushangaza, hadi waafrica wanalaliwa na wazungu kimawazo. go back to the Lungcuster agreement. unafikiri mugabe ni mjinga kung'ang'ania madaraka? kuna fukuto linafukutaga toka mda mrefu, na wazungu ndo wamesababisha yote haya, mugabe asilaumiwe. na watz msokuwa na akili mnasapoti chochote kinachosemwa na mzungu. pusi.