Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Mahojiano ya Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Othman Yakubu na Radio UFM kuhusu biashara baina ya Comoro na Tanzania na Ziara ya Shirika la Uzalishaji mali la Jeshi la Kujenga Taifa - SUMA JKT.
Pia, soma: Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu amekutana na uongozi wa Chama cha Urafiki baina ya Tanzania na Comoro