Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Kwani wakati wa Magu hawakuwahi kutoa kauli zao za kulaani? Kuna kilichobadilika?Nitoe wito kwa balozi zilizopo Tanzania kulaani mauwaji ya raia na uonevu unaoendelea kufanywa na jeshi la polisi nchini ili kuongeza uzito wa suala hili, matamko ya balozi hizo yatakuwa na mchango kubwa katika kuhamasisha mabadiliko nchini.
Hizo balozi zinajielewa siyo km we nyumbu usiyejitambuaNitoe wito kwa balozi zilizopo Tanzania kulaani mauwaji ya raia na uonevu unaoendelea kufanywa na jeshi la polisi nchini ili kuongeza uzito wa suala hili, matamko ya balozi hizo yatakuwa na mchango kubwa katika kuhamasisha mabadiliko nchini.
Nyani km ww unaweza kutoa wito kwa mabalozi? Ni umelogwa au ndivyo ulivyozaliwaNitoe wito kwa balozi zilizopo Tanzania kulaani mauwaji ya raia na uonevu unaoendelea kufanywa na jeshi la polisi nchini ili kuongeza uzito wa suala hili, matamko ya balozi hizo yatakuwa na mchango kubwa katika kuhamasisha mabadiliko nchini.
Narration ya leo ya waliotekwa na walioteswa itafusiliwe kwa lugha mashuhuri duniani irushwe dunianiNitoe wito kwa balozi zilizopo Tanzania kulaani mauwaji ya raia na uonevu unaoendelea kufanywa na jeshi la polisi nchini ili kuongeza uzito wa suala hili, matamko ya balozi hizo yatakuwa na mchango kubwa katika kuhamasisha mabadiliko nchini.
walaani nini sasa kwa mfano gentleman?Nitoe wito kwa balozi zilizopo Tanzania kulaani mauwaji ya raia na uonevu unaoendelea kufanywa na jeshi la polisi nchini ili kuongeza uzito wa suala hili, matamko ya balozi hizo yatakuwa na mchango kubwa katika kuhamasisha mabadiliko nchini.
mkataba wa Vienna hauruhusu diplomats kuingilia mambo ya ndani ya host country ~ 106-108] The principle of non-intervention involves the right of every sovereign State to conduct its affairs without outside interferenceNitoe wito kwa balozi zilizopo Tanzania kulaani mauwaji ya raia na uonevu unaoendelea kufanywa na jeshi la polisi nchini ili kuongeza uzito wa suala hili, matamko ya balozi hizo yatakuwa na mchango kubwa katika kuhamasisha mabadiliko nchini.