Nashukuru kwa ufafanuzi , maana kuna Afisa mmoja wa balozi ya nje anasema wanampago wa kuuza makazi ya Balozi wao maeneo ya masakiSheria ipo wazi kuhusu hilo kuwa mgeni hawezi kumiliki ardhi hapa Tanzania labda tu kwa lengo la kuwekeza tu basi. Ila mgeni huyo anaruhusiwa kupanga(lease) kwenye ardhi yetu.
Hivyo basi, kwa maoni yangu huwezi uza kitu kisichokuwa cha kwako. kama wanataka kuondoka inabidi warudishe hilo eneo kwa Tanzania investment Centre.
Kama ndiyo hivyo lazima serikali ilipe FIDIA kama kuna maendeleo yoyote ya kimsingi yalifanyika kwenye ardhi husika siyo?Sheria ipo wazi kuhusu hilo kuwa mgeni hawezi kumiliki ardhi hapa Tanzania labda tu kwa lengo la kuwekeza tu basi. Ila mgeni huyo anaruhusiwa kupanga(lease) kwenye ardhi yetu.
Hivyo basi, kwa maoni yangu huwezi uza kitu kisichokuwa cha kwako. kama wanataka kuondoka inabidi warudishe hilo eneo kwa Tanzania investment Centre.