PATIENCE PB
Senior Member
- Apr 3, 2014
- 163
- 37
Nilikuwa naomba mnipe topic za bam za advance kuanzia ya kwanza mpaka ya mwisho, ili nione mambo yakoje huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha!
B-Bweg.e
A-Asiye jua
M-Mathematics.
I mic miaka ile aisee,duh!
haha.. Umenikumbusha mbaali mkuu, ila si vema kuwadharau wanaosoma bam, 'cause mimi nilisoma egm, lakini chuo nilikutana na masela zangu waliosoma hge na eca, na wote tulichukua course moja (economics)
we omba mwalimu wako asiwe ndio huyo huyo wa pcm pia!!!!!!
Yule busanji sijui alikuwa anajisahau???!!!!
Maana alikuwa akija pcb anapiga dy/dx mpaka mnabaki mnatazama tu!!!!
Anacheeeka halafu anasema kijaaanaaaa vipi mbona huandiki???!!!!...huelewi wapi unajitoa hapo mwalimu katikati anauliza hapa huku anagusa ubao unajibu yes sir anasema ooookey. .halafu anazungushia alipoanzia na kusema fuatilia kuanzia hapa!!!!!
Ndo imeisha hiyo mbona tulikijua kinunda!!!!
bam haiitaji mbwe mbwe wala haraka afu ni la subsidiary, kama vp komaa na comb yako husika.
haha.. umenikumbusha mbaali mkuu, ila si vema kuwadharau wanaosoma BAM, 'cause mimi nilisoma EGM, lakini chuo nilikutana na masela zangu waliosoma HGE na ECA, na wote tulichukua course moja (Economics)
eti mkuu aliyesoma eca na egm nan anaimaintain vzur economics akienda chuo?
Nilikuwa naomba mnipe topic za bam za advance kuanzia ya kwanza mpaka ya mwisho, ili nione mambo yakoje huko
bam haina penalt.gs ndio inapenat. Kama hesabu unaziotea basi bam ni kukomaa.ila ukiidharau itakuzarau.jamaa yangu alipata hesabu a o level,akapiga pcb na kutoka na mswaki wa bam.bam ni yakawaida tu,kasolve sana.ila si nasikia ukipata f unakula penati,na huwez kuchukua faculty nzuri huko chuo kikuu?
mkuu,chuoni hutakiwi kusoma kwa historia,ni vema kuzingatia kila hatua,
kwani mtu anaweza kuwa hajawahi kusoma uchumi kabisa,na akafanya vema kuliko aliye toka nao advance.
Sio dharau mkuu,
nakumbuka tukiwa PCM,PCB walikuwa watani wetu wa jadi.
Kwa hiyo huto tu utani hatukukosekana.
eti mkuu aliyesoma eca na egm nan anaimaintain vzur economics akienda chuo?
mkuu,chuoni hutakiwi kusoma kwa historia,ni vema kuzingatia kila hatua,
kwani mtu anaweza kuwa hajawahi kusoma uchumi kabisa,na akafanya vema kuliko aliye toka nao advance.