Bam(basic applied mathematics)

PATIENCE PB

Senior Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
163
Reaction score
37
Nilikuwa naomba mnipe topic za bam za advance kuanzia ya kwanza mpaka ya mwisho, ili nione mambo yakoje huko
 
acha haraka mdogo wangu, utakutana nayo tu very soon
 
bam haiitaji mbwe mbwe wala haraka afu ni la subsidiary, kama vp komaa na comb yako husika.
 
We omba mwalimu wako asiwe ndio huyo huyo wa PCM pia!!!!!!
Yule Busanji sijui alikuwa anajisahau???!!!!
Maana alikuwa akija PCB anapiga dy/dx mpaka mnabaki mnatazama tu!!!!
Anacheeeka halafu anasema kijaaanaaaa vipi mbona huandiki???!!!!...huelewi wapi unajitoa hapo mwalimu katikati anauliza hapa huku anagusa ubao unajibu yes sir anasema ooookey. .Halafu anazungushia alipoanzia na kusema fuatilia kuanzia hapa!!!!!

Ndo imeisha hiyo mbona tulikijua Kinunda!!!!
 
Ha ha ha!
B-Bweg.e
A-Asiye jua
M-Mathematics.
I mic miaka ile aisee,duh!

haha.. umenikumbusha mbaali mkuu, ila si vema kuwadharau wanaosoma BAM, 'cause mimi nilisoma EGM, lakini chuo nilikutana na masela zangu waliosoma HGE na ECA, na wote tulichukua course moja (Economics)
 
haha.. Umenikumbusha mbaali mkuu, ila si vema kuwadharau wanaosoma bam, 'cause mimi nilisoma egm, lakini chuo nilikutana na masela zangu waliosoma hge na eca, na wote tulichukua course moja (economics)

eti mkuu aliyesoma eca na egm nan anaimaintain vzur economics akienda chuo?
 

mi naenda kupiga eca mkubwa
 
bam haiitaji mbwe mbwe wala haraka afu ni la subsidiary, kama vp komaa na comb yako husika.

ila si nasikia ukipata f unakula penati,na huwez kuchukua faculty nzuri huko chuo kikuu?
 
haha.. umenikumbusha mbaali mkuu, ila si vema kuwadharau wanaosoma BAM, 'cause mimi nilisoma EGM, lakini chuo nilikutana na masela zangu waliosoma HGE na ECA, na wote tulichukua course moja (Economics)

Sio dharau mkuu,
nakumbuka tukiwa PCM,PCB walikuwa watani wetu wa jadi.
Kwa hiyo huto tu utani hatukukosekana.
 
eti mkuu aliyesoma eca na egm nan anaimaintain vzur economics akienda chuo?

Mkuu,chuoni hutakiwi kusoma kwa historia,ni vema kuzingatia kila hatua,
kwani mtu anaweza kuwa hajawahi kusoma uchumi kabisa,na akafanya vema kuliko aliye toka nao Advance.
 
ila si nasikia ukipata f unakula penati,na huwez kuchukua faculty nzuri huko chuo kikuu?
bam haina penalt.gs ndio inapenat. Kama hesabu unaziotea basi bam ni kukomaa.ila ukiidharau itakuzarau.jamaa yangu alipata hesabu a o level,akapiga pcb na kutoka na mswaki wa bam.bam ni yakawaida tu,kasolve sana.

Form five
calculating devices and computer package
functions
algebra(sequence and series,advanced simultinous eqns,
varies and proportions
differentiations
intergrations
applications of intregrations and differentiations
statistics

form 6
statistics
matrices
linear programing
logarithmetic functions and diff&intergratn
trigonometry
probabilities and fundamental principle of counting,combinatorial analysis

wengine wamalizie mbili nimezisahau

note:kwenye necta wanatoa maswali kumi tu na unafanya yote.
 
mkuu,chuoni hutakiwi kusoma kwa historia,ni vema kuzingatia kila hatua,
kwani mtu anaweza kuwa hajawahi kusoma uchumi kabisa,na akafanya vema kuliko aliye toka nao advance.

kuna course mtu wa eca inakuwa mtelemko kwenye uchumi.ila kwa kozi za uchumi kama unajua basic mathematics na bam vizuri basi wote wa eca na egm wanafanya vizuri kwenye uchumi.pia inategemeana na uwezo wa mtu.maana kuna watu wametoka egm sio kwamba hesabu ndio wanaijua sana hapana,pia na si wote waliotoka eca wanajua account vizuri maana kuna watu tulitoka wote eca na semista ya kwanza tu chuo wame supp account .pia chuo hatuendi kwa historia kabisa,maana kuna watu wametoka na one kali kuanzia olevel hadi advance na a za hesabu na english lakini chuo wana supp kama kawa tu.
 
eti mkuu aliyesoma eca na egm nan anaimaintain vzur economics akienda chuo?

hmm, wote wako vizuri.. ila ku-maintain Economics inahitaji mapenzi na course hiyo, siyo kuichukua tu kwa sababu uliisoma ukiwa A-Level, ni sawa na uchaguaji wa kombi unapoingia form 5, usichague EGM eti kwa sababu umefaulu Book-Keeping, Commerce na Math, chagua kwa sababu una malengo nayo, wengi wanaochagua kombi baada ya matokeo ndiyo wanafanya vibaya wakimaliza form 6. Kwa hiyo, kwa upande wa chuo, katika course ya Economics, wengi wenu mnaweza mkawa mmesoma EGM na ECA, lakini cha kushangaza mkaburuzwa na mtu wa HGE mwaka wa kwanza hadi wa mwisho, so maintaining a certain course depends on yourself, are you ready for it? do you love it? whats your purpose for studying it? ukijijibu maswali hayo vizuri basi na course haitakusumbua. kwa kifupi, "passion" kwa course husika ndiyo kitu muhimu, ndiyo maana mtu wa PCB na CBG wanaweza wakakutana pale Chuo cha Muhimbili kusomea Udaktari na bado CBG akafanya vizuri japokuwa hakusoma Physics.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…