Bambo aomba msaada

Bambo aomba msaada

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2,121
Reaction score
536
Leo asubuhi alikuwa live kwenye east africa radio,akihojiwa na zembwela.
Alsema muhimbili wamemzuia kutoka hospitali kwa sababu anadaiwa hela
nyingi kwa ajili ya oparesheni ya mguu.kwa hiyo anaomba jamii kumsaidia.
Mimi nilidhani ni mwajiriwa wa etv au nipo wrong?
 
Leo asubuhi alikuwa live kwenye east africa radio,akihojiwa na zembwela.Alsema muhimbili wamemzuia kutoka hospitali kwa sababu anadaiwa hela nyingi kwa ajili ya oparesheni ya mguu.kwa hiyo anaomba jamii kumsaidia.Mimi nilidhani ni mwajiriwa wa etv au nipo wrong?
 
yaani bado sijaelewa! wameshindwa kumlipia gharama za hosipitali? its a shame to eatv...wish I could be there. pole Bambo
 
Si unajua inamilikiwa na mzee wa misifa outside lakini ndani watoto wanalia tu.
 
Mhh, Muhimbili ina nguvu kisheria za kumshikilia mtu?
 
hjii ni aibu kwa eatv-kama wanashindwa kumpa support mtu wao kwenye kipindi ambacho yye anatagemea support yao
 
EATV na Regina mengi please kama haya yanayosemwa ni kweli na kama kweli mna utu basi msaidoieni Bambo.Akitoka mtu nje ya EATV akamsaidia itakuwa ni aibu na blow kubwa kwenu kwani tunajua uwezo mnao wa kufanya hivyo.Bambo ni jembe lenu na anasaidia sana kuongeza kipato chetu kwa vichekesho vyake.
 
Yaani
unajikuta una maswaliii meengi kuliko majibu
 
nadhani bado kuna suala la muhimu kuangalia mikataba ya kazi kwani kuna mambo ya msingi ni lazima yaangaliwe kwa undani .. pole sana bambo lkn pia wasanii wanapaswa kusaidiana katika shida pia
 
Pole zake na wakishindwa tuwekeeni hapa ili mwenye chochote atoe, ila ijulikane kuwa pesa imetoka jamvini.
 
Pole Bambo, fanya mpango angalau tuwekee namba yako tutoe michango yetu
 
Ndio maana waliostukia usanii hauna dili bongo wametafuta fani nyingine.Pole sana Bambo
 
Kha??? Hii kali yaani tena wanamtoa kwenye redio yao??? Kweli kina Joti walishituka mapemaaa hovyo kabisa hawa jamaa
 
Back
Top Bottom