HeartBreak JF-Expert Member Joined Apr 21, 2008 Posts 346 Reaction score 28 Jul 2, 2011 #41 du!! itv,eatv,sijui radio one,eat....magazeti...kweli mengi ni mtu wa ajabu sana!!! pesa yake ni ngumu..ndio maana wafanyakazi wazuri hawakai pale
du!! itv,eatv,sijui radio one,eat....magazeti...kweli mengi ni mtu wa ajabu sana!!! pesa yake ni ngumu..ndio maana wafanyakazi wazuri hawakai pale
pmwasyoke JF-Expert Member Joined May 27, 2010 Posts 4,760 Reaction score 3,324 Jul 2, 2011 #42 Usanii Tanzania unahitaji mageuzi makubwa - usingetegemea mtu maarufu kama Bambo kushindwa kujilipia matibabu iwapo mapato ya usanii mzuri yangekuwa inavyopaswa.
Usanii Tanzania unahitaji mageuzi makubwa - usingetegemea mtu maarufu kama Bambo kushindwa kujilipia matibabu iwapo mapato ya usanii mzuri yangekuwa inavyopaswa.