Bamboo/mianzi

Bamboo/mianzi

luckawanna

Member
Joined
May 9, 2014
Posts
68
Reaction score
18
Wadau,

Nahitaji kupata bamboo /mianzi ambayo imekomaa na eidha imekauka ama bado (ikiwa haijavunwa pia). Naomba kwa yeyote anayefahamu inapopatikana ama kama ni mkulima anijuze.
 
Back
Top Bottom