L luckawanna Member Joined May 9, 2014 Posts 68 Reaction score 18 May 20, 2015 #1 Wadau, Nahitaji kupata bamboo /mianzi ambayo imekomaa na eidha imekauka ama bado (ikiwa haijavunwa pia). Naomba kwa yeyote anayefahamu inapopatikana ama kama ni mkulima anijuze.
Wadau, Nahitaji kupata bamboo /mianzi ambayo imekomaa na eidha imekauka ama bado (ikiwa haijavunwa pia). Naomba kwa yeyote anayefahamu inapopatikana ama kama ni mkulima anijuze.