Bamburi, Kampuni ya saruji Kenya yaongeza faida kwa asilimia 82%

Hahaha! Naona namna ulivyo mweupe.
Kwahiyo dividend inagawiwa against nini!?

Hivi unajua Income Statement report maana yake!?

Hivi unajua Net Profit inapatikanaje!?
Wewe jamaa jifunze kwanza mambo ya kihasibu ndiyo uje hapa.

Unajiaibisha.
Anayejiaibisha ni wewe. Dividend inaweza kugawiwa mara moja au mara mbili au mara nne. Inapogawiwa mara mbili, steps zinazochukuliwa ni hizi. Baada ya miezi sita, dividend ya miezi sita inarecordiwa kwa hio income statement ya miezi sita. Dividend ya pili itarecordiwa kwa income statement ya pili ambayo inaandaliwa mwisho wa mwaka. Likija kwenye suala zima la kulipa tax, hatutumii income statement ili kujua taxable income bali tunatengeneza tax statement ili kujua gross taxable income. Yaani ili tujue kiwango cha ushuru ambayo kampuni lazima ilipe inabidi tuwachane na income statement kabisa na kuandaa statement nyingine tofauti inayoitwa tax statement. Hii tax statement ndio inaandaliwa mara moja kwa mwaka ila income statement is a continuous process na sio lazima itolewe mara moja kwa mwaka.
 
Nenda kajifunze Accounts.
 

Jamaa kanasa kwenye 18 zako....hehehe ametia adabu.
 
Mbona hamueleweki sasa
Bamburi Cement posts 13pc decline in revenue owing to the COVID-19 crisis - Capital Business


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kajifunze Accounts.
Wewe pengine hata hujawahi kulipa ushuru yako ya kibinafsi na pia hujawahi kulipa ushuru ya kampuni yoyote ile ndio maana hujui kuwa mhasibu analazimika kuandaa statement nyingine tofauti kabisa na income statement ili kucalculate taxable income. Jifunze mambo ya Capital expenditure kama unataka kuelewa mambo ya kutengeneza tax statement.
 

Hivi kwenye kampuni kuwa wanalipa tax kwanza ndio wagawane dividends au wanagawana dividends kwanza then ndio wanalipa tax?
 
Huyu jamaa hajui hata masuala ya uhasibu.
Anapiga kelele tu.
Yaani anaandika tu bila hata maana yoyote.

Hao ndio wanasema wana elimu bora kitu kidogo hivyo kinamshinda. Halafu wanaweka porojo nyingi na kingereza kingi tuu bhas unaweza kuona kuna la maana kumbe hamna kitu.
 
MK254 unajiabisha brother , jaribu ku consult watu wa hii field sio kujiropokea na kujifanya ujuaji..kama hujui kitu u better shut ur mouth..
 
Sijaelewa haya maumivu yote unapata kwa ajili ya nini haswa, na kwa taarifa yako ni first half, mwakani ndio utajinyea kabisa ikiwa hii kidogo tayari inafanya uteseke hivi.
First half ashaanza kuweweseka na kuanza kuleta upupu
 
Huu ujinga wako hata maombi haiezitoa, revenue and profits are two different things. Profit may increase when expenditure reduces and revenues remain constant or reduce slightly. You need to start afresh from nursery school, no wonder Tanzania is ranked as the most illiterate country in Africa.
 
Unajua Financial report wewe.
Income Statement inahusisha corporate Tax.
So Tax hiyo mnalipa marambili!?
Dividend mnatoa Mara mbili!?
Hahahahahah
Wakenya hesabu ziliwapitia kando wanajua tu kuongea kiingeleza wakiamini wataonekana wazungu mwishowe wanaishia kuambukizwa ukimwi
 
Tulia wacha kuhangaika, 18b zinaweza zikalipa madeni yenu yote ya korosho na chenji ibaki.
wewe kukumaji madeni ya corosho ni hela ambazo hata uhunye hawezi kuiba sio hizo pesa mbuzi zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…