Bamia ni muhimu wadada wenzangu!

I like fresh ones with natural smell not your of okra odor
Nasi inakuwa fresh maana hatupakazi K hizo bamia....unapita Wala na ugali au ubwabwa kama mboga nyinginezo..ivo haiathiri kitu mkuu
 
Aisee. .kapigwa..Pipu...tena.. Kwa hiyo Tusitumie Mate tena?
 
Oo pole sana mkuu...hope ulipata wa kumpunguzia
[emoji2][emoji2][emoji2] Jana ilikuwa too late sikumpata ila nilimpanga leo ndo anakuja
Natulikubaliana kuwa atoke amepga bamia kabisa ili nipate kuhakikisha

Ama matokeo yake sio ya chap kama nnavofikiria
Lakini ntarudi na mrejesho hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…