Bamileke: Kabila la Cameroon linalopingwa nakuogopwa na makabila mengine; ndio hao wanataka Cameroon ijitenge

Sasa wewe muongo. Tusibisha please
Mkuu utabisha lakini naweza kukwambia asilimia 80 ya Wacameroon walioishi TZ toka mwaka 2010 nawafahamu, hata sherehe zao nimeudhuria sana. Na wana chama chao wana raisi na mweka hazina. Uwa wanakutana kucheza mpira kule mbezi. Wanakuja wanaondoka wengine wako France, wachache wamerudi, ni watu ambao wanahama hama tu nchi. Huyu nayekwambia kawa raisi wao kwa muda mrefu ingawa sasa si raisi tena yupo hhapa tanzania toka mwaka 2003. Lakini mcameroon anayetambulika kama alitangulia kufika hapa na wanamheshimu wengine kama mzee wao anaitwa Papa yusuph na wapambe wake walikuwa akina Papa Msofe kabla hawajashika pesa.
 
Paul Biya anatokea kabila la Fung South Province anashare kabila moja na rais wa Gabon Ali Bongo na rais wa equatorial guinea
You might be correct nitacheck my sources I guess you're right
 
Mzee wa Google πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘ŒπŸΏ
Hakuna cha kugoogle maana mimi ni marafiki zangu toka nasoma chuo. Tena wanapokuwa hapa Tz wana umoja haijalishi wanatokea sehemu wanakozungumza kingereza au Kifaransa japo bado wanaozungumza kifaransa bado wanadharau hao wanaozungumza kingereza kwa kusema hawajasoma na hawako civilized. Na mbaya zaidi kwa sasa kwa Wacameroon walioko TZ hao wanaozungumza kingereza kwa sasa ndiyo wana pesa na raisi wao wa chama anatokea kati yao.
 
Bambekeee, hongera zao
 
k

kabsa mai kany [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kuna mtu aliniprovoke jana ni wa kanda ya ziwa aisee. Sikujua exactly wapi ila alinikumbuka tu kuna mitaa aliwahi niona. Anaanza niattack kwa ukabila, wew esi mchagga vile eh? Mna roho mbaya sana nyie.roho ya kishetani. Sijui mtu alikua akifungua genge hapati wateja ila huo mtaa wamekuja wakinga wamewanyoosha wachagga. Imagine kumuattack mtu wala simjuagi . Kwa dharau zangu sikudeal nae tena. Later ananionba namba eti blah blah. Nikamwambia baki na umaskini wako. Mpaka nahisi ana I.d humu[emoji23]
 
mimi uko uko kanda ya ziwa nlipata shida kuna jamaa yangu nlimsikia anasema behind my back eti "acha lifilisike haya majamaa majizi sana" nyerere mwenyewe aliacha wosia mchaga asije kua rais 🀣 🀣 🀣
 
mimi uko uko kanda ya ziwa nlipata shida kuna jamaa yangu nlimsikia anasema behind my back eti "acha lifilisike haya majamaa majizi sana" nyerere mwenyewe aliacha wosia mchaga asije kua rais [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Umasikini tu wa mawazo[emoji23]
 
Watanganyika mumeharibu uzi, baana ya kuwa tumepata taarifa mumeweka na dhana ya ukabila humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…