Wanajukwaa kuna kitu nafikiria kufanya nacho ni kuwa naleta habari za wasanii wa Congo,tafsiri ya nyimbo zao nk. Sasa naomba wanaopenda waseme ndioooo na wasiopenda waseme siooooo kabla sijaendelea[/QUOTE
UPDATE
FEUX DE L'AMOUR- MOTO WA MAPENZI
huu wimbo umeimbwa na jb mpiana kama solo project.jina la wimbo ni jina la album iliyosheheni nyimbo kama ndombolo,masuwa,Baba Linda na calvare solitaire. Hii solo project ndio ilikuwa moja ya kunjika kwa Bendi ya wasomi wenge BCBG iliyokuwa na mainjinia kama KB mpiana, Adolf Dominguez na magraduate kama muhasibu werasson,emelia loss, bill "Clinton" calondge etc. Sitaki leo Kutoa historia ya wenge Bali nataka kuutafsiri wimbo huu