Bamutu ya kongo

Fortunatus Buyobe

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
463
Reaction score
1,127
Wanajukwaa kuna kitu nafikiria kufanya nacho ni kuwa naleta habari za wasanii wa Congo,tafsiri ya nyimbo zao nk. Sasa naomba wanaopenda waseme ndioooo na wasiopenda waseme siooooo kabla sijaendelea
 
Bolingo na biso tukunyema mpaka chini,chivundu ngai na te lingala mayenu ya na ngambo,
Hebu tuanzie hapo kwanza watafsilie wana JF sasa.
 
Ndiooooo, tena usisahau kutafsiri nyimbo za Cindy muke ya Kofi.....anaimbaga kwa hisia sana.
 
Leta.. capitaine de benelux au nimekuacha mzee hapo? Kitu cha wenge hi3cho mpiana anatiririka balaa
 
Wanajukwaa kuna kitu nafikiria kufanya nacho ni kuwa naleta habari za wasanii wa Congo,tafsiri ya nyimbo zao nk. Sasa naomba wanaopenda waseme ndioooo na wasiopenda waseme siooooo kabla sijaendelea

Ndiyo, naomba utafisri wimbo wa Hayati Pepe Kalle unaitwa Divise par Deux Esepelisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…