Banaumeeee

kande kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2011
Posts
234
Reaction score
88
Kuna jamaa yangu aliapa, kwa jinsi askari wa mashati meupe wanavyomsumbua kunako barabara, lazima atafute askari wa kike wa nyeupe amalizie hasira zake(kulipiza kisasi na si kutafuta favor). Kwamba atahakikisha anakula tunda la binti akiwa kwenye sare zake. Na karibuni nimetambulishwa kwa shemeji mpyaaaaa,TRFK!

Hoja;

Kwa nini inakuwa hivyo? Kwamba sisi midume mara nyingi tuko tayari kutafuta tendo la ngono kwa mabinti tofauti kwa sababu moja tu na pengine ya kipuuzi kama hiyo hapo juu? Ooh....KWA SABABU MNENE, MWEMBAMBA,KIGOLI,CHEUPE,MABASTOLA n.k?
 
Mi siwezi tafuta mwanamke kwa sababu hizo!
 
Nafikiri hizo ni tamaa zake binafsi juu ya hao wadada wanaovaa nguo nyeupe barabarani .... Nothing more!
 
Raha jipe mwenyewe... msiba haukosi waombolezaji:bolt::bolt:
 
sa si jamaa ako kwanini usimuulize ye mwenyewe kwa UPUPU anaoupaka
 
Nafikiri hizo ni tamaa zake binafsi juu ya hao wadada wanaovaa nguo nyeupe barabarani .... Nothing more!

Dunia ya ss inabidi uwe na marafiki kama...

1, polisi/trafiki ili ukikamatwa ujue wapi itkuwa na inital velocity

2. Mwanasheria ili siku ukiwa na kimeo uje wapi pa kuanzia

3.Daktari/nesi ili siku ukiumwa upate kidoogo afueni ya ushauri wa kitabibu, hili nia xperince nalo....

4. Mwalimu ili ukitaka ushauri wa masuala ya kielumu na vinavyohusina usipate taaabu

Hece kwa chagup la huoy jamaa. Nafikiri ana MAANA YAKE...


Nawasilisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…