Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Wapenzi wasomaji JF;
Mwaka huu nami nikaona niige enzi zile za ujana wangu, nikaamua kujikongoja na kifimbo changu hadi nikafanikiwa kufika uwanja wa Maonyesho ya sabasaba mwaka huu wa 2013. Eee bwana eeh, si nikaingia banda la JWTZ! Yaani burudani tupu, na kilichonivutia zaidi ni wale makomandoo wa miavuli na nchi kavu, pamoja na mmoja wa majini niliowakuta pale! Yaani it's very interesting na inabidi uwe na muda maana hutapenda uondoke. Nilikuwa sijawahi kabisa kuona makomandoo live katika maisha yangu, basi ukifika banda hilo utawakuta. Kama unapenda kusikia stori zao kama mim i,basi wewe fika pale mwaka huu usikie maajanbu ya watu hao!