Banda la jwtz uwanja wa sabasaba 2013: Makomandoo

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Posts
11,129
Reaction score
7,321
Wapenzi wasomaji JF;
Mwaka huu nami nikaona niige enzi zile za ujana wangu, nikaamua kujikongoja na kifimbo changu hadi nikafanikiwa kufika uwanja wa Maonyesho ya sabasaba mwaka huu wa 2013. Eee bwana eeh, si nikaingia banda la JWTZ! Yaani burudani tupu, na kilichonivutia zaidi ni wale makomandoo wa miavuli na nchi kavu, pamoja na mmoja wa majini niliowakuta pale! Yaani it's very interesting na inabidi uwe na muda maana hutapenda uondoke. Nilikuwa sijawahi kabisa kuona makomandoo live katika maisha yangu, basi ukifika banda hilo utawakuta. Kama unapenda kusikia stori zao kama mim i,basi wewe fika pale mwaka huu usikie maajanbu ya watu hao!
 
Umeona airborne hujaonakomandoo wewe unawajua CDO'S wewe au ?

"To know the enemy is half the victory"
 
Hili ndilo banda la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ambalo limekuwa kivutio kwa wananchi wengi wanaojitokeza kwenda kwenye maonyesho ya biashara ya kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Mw. Julius K. Nyerere barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.

Huyu ni mmoja wa wanajeshi makini na mkakamavu wa jeshi hilo ambaye yupo katika monyesho hayo.

Makanyaga
 
Safi sana,nimependa ile "Hakuna ulinzi kamilifu nchini bila jeshi la akiba"
 
nilienda mkuu yani is so amizing
 
Umeona airborne hujaonakomandoo wewe unawajua CDO'S wewe au ?

"To know the enemy is half the victory"

comando wapo acha ubishi ukiingia 2 mlangoni kwenye banda la Jwtz ndo wao wa mwanzo na uniform zao zimeandikwa Comando kabisa nenda ukaone acha ubishi
 
Kuna haja ya kubadili jina la maonesho haya? Commandos na "biashara", wapi na wapi?
 
Ki ukweli wanavutia xana hao jamaa wa " 6 week" sijui wanatoka TMA AU wapi? kama vipi ntawaunganisha na hawa jamaa SPETSNAZ
Spetsnaz is a general term for "special forces" in Russian. They are the equivalent of US Green Berets and instead of undergoing regular training like the other special forces around the world, the Spetsnaz endure pain through punishment daily throughout their training.

The Spetsnaz injure each other, breaking ribs, fingers and vertebrae to heal later on, only to get punished even further. They claim that pain can't be avoided, so they are taught to enjoy it.
Nadhani watakuja wakiwa highly skilled and technically prepared, yaani wakiwa "FULL MASS IN ORDER "
 
Hivi bado wanafunga milango saa kumi na mbili jioni?

Nimeenda mwaka jana baada ya kukosa for about a decade, Sabasaba somehow is not what it used to be. Sijui niyo kukua au kuona ma malls ya watu kunai fanya i pale in comparison.

Nilijichuza kuingia chooni kwenye ki baa kimoja, weee, unaweza kupata ugonjwa kwa harufu tu.

Nilipouliza kwa nini wanafunga saa kumi na mbili jioni wakati saa kumi na mbili jioni wengine ndio wanatoka makazini, nikajibiwa wanaogopa wizi.

It was such an anticlimax, kwa sababu I was so looking forward to relive that Sabasaba experience.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…