Banda la kupumzikia ng'ombe linatakiwa liweje?

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3,402
Reaction score
4,532
Ninafuga Ng'ombe tunaowaita wa kisasa. Nina mpango wa kuwajengea banda la kupumzikia tu na sehemu yao ya kulia majani iwe sehemu ingine japo ni extension tu naomba ushauri sifa za banda liweje?
 
Inshort banda la kupumzikia ni kama la kulala tu.
Kama ni ufugaji wa kisasa hakikisha lina kuwa na hewa safi, mfumk mzuri wa utoaji mbolea na mikojo, hakikisha sakafu yake haihifadhi unyevu na liwe na space ya kutosha.
 
Niliona Kenya ng'ombe wa kisasa ana mpk kitanda cha kulalia,akiwa anakamuliwa anawekewa music na hafungwi kamba akikamuliwa na marufuku kumchapa sababu utamuongezea stress ambayo itasababisha kupunguza utoaji wa maziwa.

All the best
... duh! huyu ng'ombe binadamu?
 
Niliona Kenya ng'ombe wa kisasa ana mpk kitanda cha kulalia,akiwa anakamuliwa anawekewa music na hafungwi kamba akikamuliwa na marufuku kumchapa sababu utamuongezea stress ambayo itasababisha kupunguza utoaji wa maziwa.

All the best
Hii ya music nilishaisikia ng'oja nita implement hilo la vitanda mkoa wa Kilimanjaro ni kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inshort banda la kupumzikia ni kama la kulala tu.
Kama ni ufugaji wa kisasa hakikisha lina kuwa na hewa safi, mfumk mzuri wa utoaji mbolea na mikojo, hakikisha sakafu yake haihifadhi unyevu na liwe na space ya kutosha.
Ahsante the genius initials zako zinafanana na ushauri wako mzuri naku PM
 
Fanya juu chini lisiwe kama yale ya vijijini, yale yanajaaga vinyesi vinakuwa kama jaruba la mpunga lililopungua maji(tope).

Yaani ng'ombe analala mlemle asubuhi ukimcheki tumboni anakuwa na nywele kama za mzungu au mtu ambaye hakuchaga nywele mbali na hapo kuna magojwa yanaweza wakumba.
 
Niliona Kenya ng'ombe wa kisasa ana mpk kitanda cha kulalia,akiwa anakamuliwa anawekewa music na hafungwi kamba akikamuliwa na marufuku kumchapa sababu utamuongezea stress ambayo itasababisha kupunguza utoaji wa maziwa.

All the best
Mkuu kama una picha ya hilo banda tupia hapa tujifunze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei ya ng'ombe iko vp kwa wa kisasa mkuu ulichukua wap samahani kwenda nje ya mada
 
Wanapenda mziki wa aina gani ??

Back
Top Bottom