NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
... duh! huyu ng'ombe binadamu?Niliona Kenya ng'ombe wa kisasa ana mpk kitanda cha kulalia,akiwa anakamuliwa anawekewa music na hafungwi kamba akikamuliwa na marufuku kumchapa sababu utamuongezea stress ambayo itasababisha kupunguza utoaji wa maziwa.
All the best
Hii ya music nilishaisikia ng'oja nita implement hilo la vitanda mkoa wa Kilimanjaro ni kawaidaNiliona Kenya ng'ombe wa kisasa ana mpk kitanda cha kulalia,akiwa anakamuliwa anawekewa music na hafungwi kamba akikamuliwa na marufuku kumchapa sababu utamuongezea stress ambayo itasababisha kupunguza utoaji wa maziwa.
All the best
Ahsante the genius initials zako zinafanana na ushauri wako mzuri naku PMInshort banda la kupumzikia ni kama la kulala tu.
Kama ni ufugaji wa kisasa hakikisha lina kuwa na hewa safi, mfumk mzuri wa utoaji mbolea na mikojo, hakikisha sakafu yake haihifadhi unyevu na liwe na space ya kutosha.
Mkuu kama una picha ya hilo banda tupia hapa tujifunzeNiliona Kenya ng'ombe wa kisasa ana mpk kitanda cha kulalia,akiwa anakamuliwa anawekewa music na hafungwi kamba akikamuliwa na marufuku kumchapa sababu utamuongezea stress ambayo itasababisha kupunguza utoaji wa maziwa.
All the best
Niliona Kenya ng'ombe wa kisasa ana mpk kitanda cha kulalia,akiwa anakamuliwa anawekewa music na hafungwi kamba akikamuliwa na marufuku kumchapa sababu utamuongezea stress ambayo itasababisha kupunguza utoaji wa maziwa.
All the best
RnB
Fresian na jerseyBei ya ng'ombe iko vp kwa wa kisasa mkuu ulichukua wap samahani kwenda nje ya mada
Sent using Jamii Forums mobile app
Lipo subiri nitakutumiaMi naomba mwenye group la whatsaap kwa ufugaji wa ng'ombe anisaidie link tafadhari
Sent using Jamii Forums mobile app