Uchumi wa Kati
Member
- Jul 3, 2020
- 29
- 63
Ila wewe ni muongo! π€ Hilo banda liko wapi? Hata mawasiliano tu hakuna! Unauza banda la nini? La kufugia kuku au simbilisi?Banda la vyumba vitatu linauzwa.Bei 8.5 million.
Banda hili lipo Tabata Kinyerezi
π π πTumeliona[emoji16][emoji16][emoji16]
sema fundi alie ezeka angetumia bati za msouth banda lingekua kali kinyamaIla paa la hilo banda limeezekwa kisasa mno[emoji91][emoji91]
sema fundi alie ezeka angetumia bati za msouth banda lingekua kali kinyama
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila paa la hilo banda limeezekwa kisasa mno[emoji91][emoji91]