Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haha...Pana siku nilikutana na neno "Bandaling". Sikuwa nimewahi kulisikia. Mafundi paa walikuwa wakilitaja.
Nini asili ya jina hilo? Neno lipi la Kiswahili ushawahi kukutana nalo ukabaki unashangaa?
CrosscuttingSielewi maana ya neno 'mtambuka'
Jaribu kumuuliza Magonjwa Mtambuka yeye atakua anafahamu hilo nenoSielewi maana ya neno 'mtambuka'
Ndio maana ya mtambuka?Crosscutting