Mlenge R I P Joined Oct 31, 2006 Posts 2,125 Reaction score 2,306 Mar 26, 2021 #1 Pana siku nilikutana na neno "Bandaling". Sikuwa nimewahi kulisikia. Mafundi paa walikuwa wakilitaja. Nini asili ya jina hilo? Neno lipi la Kiswahili ushawahi kukutana nalo ukabaki unashangaa?
Pana siku nilikutana na neno "Bandaling". Sikuwa nimewahi kulisikia. Mafundi paa walikuwa wakilitaja. Nini asili ya jina hilo? Neno lipi la Kiswahili ushawahi kukutana nalo ukabaki unashangaa?
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 Mar 27, 2021 #2 tasnimu -- dynamics something is talking -- kitu fulani kinatoka
D Detox Arigato Member Joined Apr 11, 2020 Posts 37 Reaction score 63 Mar 27, 2021 #3 Mlenge said: Pana siku nilikutana na neno "Bandaling". Sikuwa nimewahi kulisikia. Mafundi paa walikuwa wakilitaja. Nini asili ya jina hilo? Neno lipi la Kiswahili ushawahi kukutana nalo ukabaki unashangaa? Click to expand... haha... neno ni "brandering" ni kingereza hilo boss wangu. sidhani kama lina Kiswahili fasaha
Mlenge said: Pana siku nilikutana na neno "Bandaling". Sikuwa nimewahi kulisikia. Mafundi paa walikuwa wakilitaja. Nini asili ya jina hilo? Neno lipi la Kiswahili ushawahi kukutana nalo ukabaki unashangaa? Click to expand... haha... neno ni "brandering" ni kingereza hilo boss wangu. sidhani kama lina Kiswahili fasaha
Mlenge R I P Joined Oct 31, 2006 Posts 2,125 Reaction score 2,306 Mar 27, 2021 Thread starter #4 Detox Arigato said: haha... neno ni "brandering" ni kingereza hilo boss wangu. sidhani kama lina Kiswahili fasaha Click to expand... Du!
Detox Arigato said: haha... neno ni "brandering" ni kingereza hilo boss wangu. sidhani kama lina Kiswahili fasaha Click to expand... Du!
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,539 Reaction score 11,419 Mar 29, 2021 #5 Sielewi maana ya neno 'mtambuka'
platozoom JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 9,424 Reaction score 11,320 Mar 29, 2021 #6 Auz said: Sielewi maana ya neno 'mtambuka' Click to expand... Crosscutting
Edwin171 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 451 Reaction score 553 Mar 29, 2021 #7 Auz said: Sielewi maana ya neno 'mtambuka' Click to expand... Jaribu kumuuliza Magonjwa Mtambuka yeye atakua anafahamu hilo neno
Auz said: Sielewi maana ya neno 'mtambuka' Click to expand... Jaribu kumuuliza Magonjwa Mtambuka yeye atakua anafahamu hilo neno
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,539 Reaction score 11,419 Mar 30, 2021 #8 platozoom said: Crosscutting Click to expand... Ndio maana ya mtambuka?