dali kimoko
Senior Member
- Jan 25, 2021
- 114
- 139
sawa uchunguzi uendelee na kazi zifanyike basi, walidhani kila siku ni jumapili?CAG atakuwa kesha tia kambi hapo.Fanyeni subra wakamate mwizi
Bandari Billing section kulikoni mbona hatupati invoice tulipe tutoe mizigo yetu au KAKOKO kaondoka nayo, msitukwamishe bana, fanyeni utaratibu as quick as possible. Kwani hizi system ana control nani? mara leo TPA kesho TRA, ngachoka kabisa.
AmechokaNgachoka ndo nini?
Kigogo2014 kasemaje
Kuna mwizi atolewa mbio huko....Bandari Billing section kulikoni mbona hatupati invoice tulipe tutoe mizigo yetu au KAKOKO kaondoka nayo, msitukwamishe bana, fanyeni utaratibu as quick as possible. Kwani hizi system ana control nani? mara leo TPA kesho TRA, ngachoka kabisa.