Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Sawa jambo jema.Bandari ya Dar es Salaam imevunja rekodi kwa kupokea meli iliyobeba mzigo mkubwa zaidi wa shehena ya tani 38,500
Shehena hiyo ya viuatilifu vya sulphur iliwasili jana Septemba 08, 2021 Meli ya Serene Theodore
ShehrSh Kubwa Zaidi ilipokelewa bandarini hapo zaidi ya miaka 10 iliyopita ikiwa na Tani 30,000
Mwezi uliopita bandari ilipokea meli kubwa iliyobeba shehena ya magari zaidi ya 3700 halafu unasema meli kubwa zaidi ilipokelewa miaka 10 iliyopita au hiyo ya magari haihesabiki?Bandari ya Dar es Salaam imevunja rekodi kwa kupokea meli iliyobeba mzigo mkubwa zaidi wa shehena ya tani 38,500
Shehena hiyo ya viuatilifu vya sulphur iliwasili jana Septemba 08, 2021 Meli ya Serene Theodore
ShehrSh Kubwa Zaidi ilipokelewa bandarini hapo zaidi ya miaka 10 iliyopita ikiwa na Tani 30,000
Hongera sana Mama Samia
Hongera sana Serikali ya CCM
nasikitika habari yako imekosa picha ya meli yenyeweBandari ya Dar es Salaam imevunja rekodi kwa kupokea meli iliyobeba mzigo mkubwa zaidi wa shehena ya tani 38,500
Shehena hiyo ya viuatilifu vya sulphur iliwasili jana Septemba 08, 2021 Meli ya Serene Theodore
ShehrSh Kubwa Zaidi ilipokelewa bandarini hapo zaidi ya miaka 10 iliyopita ikiwa na Tani 30,000
Hongera sana Mama Samia
Hongera sana Serikali ya CCM
HuhahahahaYaani mkuu umekosa kabisa picha ya bandari, ya meli, ya rekodi hata ya kwako mwenyewe kweli?
Kasome halafu rudi uje utuambie mwendazake alikopa kiasi gani kwa miaka mitano aliokuwa ikulu?Mqgufuri alikuwa na vision..mungu angemjalia kumaliza miaka kumi tungekuwa mbali..Kwa sasa nadni ya miezi 5 tumekopa teillion 6..kutoka world bank,na imf kwa ajili ya kudhibiti korona na kujenga miundombinu ya barabara kwa jembe la mkono..huku tozo zikizidi..wakati tynakopa hayo matrillioni sioni hata sh ikienda kwenye miundombinu msingi