Bandari ya Dar es Salaam yazidi kufanya vyema mwaka 2017/18

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Bandari Salama ya Dar es Salaam imeonesha utendaji wa kuridhisha siku hadi siku.
Katika mwaka 2017/18 Imeweza kupoke mizigo kiasi cha zaidi ya tani milioni 16.

#HapaKazi tu
 
@Salaryslip njoo utafute kasoro nyingine
 
Maadam chanzo cha taarifa hii ni taasisi ya serikali, najipa muda kwanza kabla ya kuiamini hii taarifa.
 
Tani milion 16 Zipo Equivalent na Income??? Tuanzie hapo

Lakini kuingiza mizigo mingi sio kufanya vizuri.

Siku ambayo ntaona Bandari imepokea Tani chache sana ndio ntaamini kuwa nchi Yetu imepiga hatua kiuchumi. Kwa maana kwamba Tunazalisha sana bidhaa na hivyo hatuhutaji Ku import bidhaa.
 
Hiyo theory yako ni ngumu kumeza...kuhusu kuingiza mapato ni ukweli usiopingika kuwa mapato yanaongezeka...kwa hiyo TRA wanapotoa data tusiwabeze.
Nakumbuka Bavicha wa JF walivyokuwa wanatutia hofu eti mizigo na meli bandarini inapungua.
 
Tani milion 16 Zipo Equivalent na Income??? Tuanzie hapo

Lakini kuingiza mizigo mingi sio kufanya vizuri.

Siku ambayo ntaona Bandari imepokea Tani chache sana ndio ntaamini kuwa nchi Yetu imepiga hatua kiuchumi. Kwa maana kwamba Tunazalisha sana bidhaa na hivyo hatuhutaji Ku import bidhaa.
una mawazo mazuri sana lkini unatakiwa ukumbuke kila mzigo bandarini sio wa nchii hii poa kuna land locked country zinategemea bandari yetuuu
 
Bandari Salama ya Dar es Salaam imeonesha utendaji wa kuridhisha siku hadi siku.
Katika mwaka 2017/18 Imeweza kupoke mizigo kiasi cha zaidi ya tani milioni 16.

#HapaKazi tu
Comparative analysis???????
 
Tani milion 16 Zipo Equivalent na Income??? Tuanzie hapo

Lakini kuingiza mizigo mingi sio kufanya vizuri.

Siku ambayo ntaona Bandari imepokea Tani chache sana ndio ntaamini kuwa nchi Yetu imepiga hatua kiuchumi. Kwa maana kwamba Tunazalisha sana bidhaa na hivyo hatuhutaji Ku import bidhaa.
Duh!
 
Back
Top Bottom