TPA
Member
- Sep 28, 2016
- 49
- 71
Bandari ya Tanga imeibuka kuwa washindi wa Jumla wa Michezo ya Bandari kwa mwaka 2016 mara baada ya kuibuka washindi wa kwanza katika michezo mbalimbali ya kikapu, mpira wa pete, kuvuta kamba wanaume na riadha. Kwa upande wa Bandari ya Dar es Salaam imeibuka na ushindi katika michezo ya kuvuta kamba wanawake na mchezo wa bao.
Wakati huohuo timu ya Makao Makuu imeibuka na zawadi ya kuwa timu bora yenye nidhamu wakati wa michezo hiyo ambayo kwa mwaka huu imetimua vumbi jijini Tanga.
Meneja Rasilimali Watu wa TPA, Bw. Mussa Msabimana (wapili kulia) akikabidhi kikombe kwa washindi mbalimbali wa michezo ya bandari kwa mwaka 2016.