Bandarini Dar: Madereva wa Malori wamegoma kutokana na utendaji mbovu na system ya TPA

Bandarini Dar: Madereva wa Malori wamegoma kutokana na utendaji mbovu na system ya TPA

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Kwa habari za kuaminika nikwamba kwasasa kuna mgomo unaendelea TPA Terminal II (TICTS) Madereva wamegoma kutokana na utendaji mbovu na system ya TPA kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi kutoka TPA I na TPA II.

Mamlaka ziseme ukweli na zitafute ufumbuzi haraka wa hili tatizo.

Kuzuia waandishi wa habari sio tija.
 
Hawa TICTS sindio walikuwa wanalitaka deal alilochukuwa Dp world?
 
Back
Top Bottom