Kwa habari za kuaminika nikwamba kwasasa kuna mgomo unaendelea TPA Terminal II (TICTS) Madereva wamegoma kutokana na utendaji mbovu na system ya TPA kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi kutoka TPA I na TPA II.
Mamlaka ziseme ukweli na zitafute ufumbuzi haraka wa hili tatizo.
Kuzuia waandishi wa habari sio tija.