Andaa pesa ziada ya hiyo utakayokokotoa kwenye hiyo formula, zaidi ya nusu yake! Vinginevyo utaumia kwenye bandari yetu, na Tiscan hawachelewi kukuambia kwamba gari lako lilikuwa underpriced na watakachokufanyia ni kitu wanaita ku-uplift thamani!! Conspiracy na clg agents? They don't feel any mortification.