Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Madogo wamekupiga!Nilinunua line ya tigo ya chuo juzi na kuisajili kwaajili ya internet tuu, niliambiwa kuwa ukiweka 2000 unapata 4gb kwa wiki, kweli baada ya kuikamilisha menu ilikuwa hyvyo na niliunga, sasa leo naicheki tena haipo, vp wakuu kuna menu yoyote zaidi ya tigo ya kupata gb za kutosha kwa wiki kwa gharama ya angalau 2000?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila menu ilikuwepo mkuu kwenye ofa maalum, 4gb kwa wki kwa 2000 leo na nikaunga, baada ya siku nne nakuta haipo labda kuna menu tofauti mkuu ngoja wana waje.
Hamna mkuu, nalitumia kuingiza ngawira pamoja na kudownlod series.
Halotel gb ngapi mkuu kwa bei gan, na speed yake iko vzr? Nipo dar.Mataperi tigo voda
Tumia Halotel kwenye internet na Airtel kwenye huduma za kupiga simu.
Hapa ni mjiniNilinunua line ya tigo ya chuo juzi na kuisajili kwaajili ya internet tuu, niliambiwa kuwa ukiweka 2000 unapata 4gb kwa wiki, kweli baada ya kuikamilisha menu ilikuwa hyvyo na niliunga, sasa leo naicheki tena haipo, vp wakuu kuna menu yoyote zaidi ya tigo ya kupata gb za kutosha kwa wiki kwa gharama ya angalau 2000?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwezi 9999 dakika 800 halotel halote dakika80 mitandao yote na 7GBHalotel gb ngapi mkuu kwa bei gan, na speed yake iko vzr? Nipo dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Loo basi na mimi wamenikamata juzi mkuu, washenz sana hawa tigo, nilifurahia nikijua kuwa ndio itakuwa hvyo kila siku.Hapa ni mjini
Tigo wanauza laini zao kwa ujanja huo siku hizi.
Kinachofanyika ni kukuuzia laini wanayoiita ya chuo, utaweza kujiunga 4GB kwa 2000 per wiki then baada ya hapo huwezi kujiunga tena ile menu wanaiondoa, watu wengi sana wameuziwa laini kwa ujanja huo hasa ukienda sehemu za town kama K/Koo ndio michezo yao watoto wa mujini
Sent using Jamii Forums mobile app
Yalishanikuta kama yako,hiyo ofa wanaweka pale unaposajili line mpya,hamia halotel wapo vizuriHalotel gb ngapi mkuu kwa bei gan, na speed yake iko vzr? Nipo dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran mkuu, jpo 10,000 ni ndefu sanaMwezi 9999 dakika 800 halotel halote dakika80 mitandao yote na 7GB
Kuna cha jero mb300 siku kuna week mb 500 kwa jero kuna week mb 800 kwa 1500 na madakika kibao ya kupiga
Shukran mkuu, wacha nitafute line yao, japo line yao usipokuwa hewan ndan ya mwezi wanaigawa namba kwa mwingine.Yalishanikuta kama yako,hiyo ofa wanaweka pale unaposajili line mpya,hamia halotel wapo vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran comredyKuna cha jero mb300 siku kuna week mb 500 kwa jero kuna week mb 800 kwa 1500 na madakika kibao ya kupiga
Kwa menu ipi boss?Kuna cha jero mb300 siku kuna week mb 500 kwa jero kuna week mb 800 kwa 1500 na madakika kibao ya kupiga