chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Kama IRS (The Internal Revenue Service - Revenue service for the United States federal government) ingekuwa TZ kufuatilia wapenda sifa naona wangenyoosha mikono juu wasanii.
Wasanii mnapenda sifa sana kuliko mnachokitafuta ila bahati nzuri TRA ya kwetu muda wa kufatilia wasanii haijawa makini.
Wasanii wa Marekani wanafatiliwa sana na mwisho wa siku wanakili wenyewe sifa zao zinawapeleka pabaya.
Sasa huyu bando la milioni 3 ukifatwa usilalamike utaeleza mapato yako yako unapata wapi au ndio ulichopewa kina kwepa kodi.