Marekani sifa hazina uhusiano wowote na kodi. Hata usipojioshesha kodi lazima ulipe accoldingly kwasababu mapato yako yote yako transparante. Kwa kifupi huwezi kuficha hela, na ukificha ni kosa la jinai.
ujaishi nje ndugu.We sikia tu
we fanya fujo ya kujifanya unacho bila kujua vyanzo vyako vya mapato.
na wakijua vyanzo vyako alafu ndio vinakwepa kodi utawajua.
Na kupa mkasa wa kuchekesha sana.
Jamaa walivamia gari la pesa zilizotolewa benki.
wapiga mshindo kila mtu akasepa kivyake uko madiba.
Jamaa mmoja akarudi cape town.
kama mwezi jamaa kaenda duka la ferrari na cash kununua gari.
tambua kampuni za kule hata ukiuliza bei wanaomba information zako ili kujua umethubutu vipi.
wakaomba kujua huyu jamaa ana biashara gani. basi idara zikawa zinakuja huku jamaa akipewa hongera na kusubirishwa ili kupewa gari lake.
wakamtia nguvuni ilipokuja kugundulika ni wale walichukua pesa kwenye gari.
alikwenda kuwaonesha wenzake wote.