... tiGo 20,000 GB 20? Tangu lini? Hakuna kitu kama hicho! Toka enzi 20,000 ni GB 12; 10,000 GB 2.5. Sijui juzi yako unamaanisha since when?Wakati watu wakijadili habari za nyongeza za mishahara bando limepanda bila kutangazwa. 20'000 ilikuwa unapata gb 30, mama alipoingia 20'000 unapata gb19 kuanzia juzi 20'000 unapata gb17. Tigo hao, provider wengine sijawajaribu. Mama anaupiga mwingi kwelikweli.
Nahisi ni kwa watu wa tigo post paid... tiGo 20,000 GB 20? Tangu lini? Hakuna kitu kama hicho! Toka enzi 20,000 ni GB 12; 10,000 GB 2.5. Sijui juzi yako unamaanisha since when?
Acha urongo wewe!... tiGo 20,000 GB 20? Tangu lini? Hakuna kitu kama hicho! Toka enzi 20,000 ni GB 12; 10,000 GB 2.5. Sijui juzi yako unamaanisha since when?
... ni pre-paid kifurushi cha mwezi.Nahisi ni kwa watu wa tigo post paid
Ila sie wa vocha ni 20K kwa gb 12