Bando lipi ninunue ili nikidhi mahitaji yangu ya kimtando?

Colecole

Senior Member
Joined
Oct 1, 2021
Posts
144
Reaction score
190
Habari ya Jumanne ya leo family, mtandao naotumia ni airtel naomba msaada kwa mwenye kujua bando lenye uhimili hadi huko Instagram

Imekuwa changamoto kwangu 5000,10000 si kitu ndani ya bado la wiki[emoji29]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Smartphone offer
Unapata 1.6GB/3days @2,000
 
Kwa wiki 2
Screenshot_20220614-173308.png
 
Tokea huyu raisi kuingia , Bando limekuwa gharama sana
Hasa kwa sisi ambao shughuli zetu zenazo tumia intaneti

Kwa mfano mm , kwa siku nahitaji bando la zaidi ya 10GB

Ukisema ujiunge na fiber , iko mbali na eneo nilililopo
TTCL na wao pia network ni speed ya Kobe - haufanyi kitu
 
Habari ya Jumanne ya leo family, mtandao naotumia ni airtel naomba msaada kwa mwenye kujua bando lenye uhimili hadi huko Instagram

Imekuwa changamoto kwangu 5000,10000 si kitu ndani ya bado la wiki[emoji29]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Nadhani fanya jaribio ili nenda kwenye data in settings track matumizi yako ya mwezi chukua hata mwezi uliopita. Jua kipi kwanza kinakula iyo data alafu jitoe muanga nunua ilo bando in total ya gbs zitakazokua displayed pale alafu uone.
 
Back
Top Bottom