Smartphone offerHabari ya Jumanne ya leo family, mtandao naotumia ni airtel naomba msaada kwa mwenye kujua bando lenye uhimili hadi huko Instagram
Imekuwa changamoto kwangu 5000,10000 si kitu ndani ya bado la wiki[emoji29]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hii itakua offer ya kununua simu Tigo shopKwa wiki 2
View attachment 2260680
Nadhani fanya jaribio ili nenda kwenye data in settings track matumizi yako ya mwezi chukua hata mwezi uliopita. Jua kipi kwanza kinakula iyo data alafu jitoe muanga nunua ilo bando in total ya gbs zitakazokua displayed pale alafu uone.Habari ya Jumanne ya leo family, mtandao naotumia ni airtel naomba msaada kwa mwenye kujua bando lenye uhimili hadi huko Instagram
Imekuwa changamoto kwangu 5000,10000 si kitu ndani ya bado la wiki[emoji29]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app