Bandugu Msaada Kwenye 2ta

Bandugu Msaada Kwenye 2ta

nyuki2015

Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
47
Reaction score
5
Wakuu!.
Kwanza kabisa poleni na heka heka za kila siku za hapa mjini.

msaada kidogo!
nina ndugu yangu amehitimu kidato cha nne
alama zake za ufaulu ni;

B/math-C
Engl- C
Kiswa-B
Bios- D
Civ- D
Geo-D
Hist-E

DV III ya 31
je anaweza kwenda advance?.
kwa mchepuo upi wakuu?

asanteni kwa ushirikiano na poleni tena kwa usumbufu
 
mmh.. kwa kweli hizo three sasa naona maluwe luwe.

hapo naona akihurumiwa sana, labda apelekwe EGM.. otherwise mizizi yote ambayo ni H na G imeharibiwa kabisa..
 
mmh.. kwa kweli hizo three sasa naona maluwe luwe.

hapo naona akihurumiwa sana, labda apelekwe EGM.. otherwise mizizi yote ambayo ni H na G imeharibiwa kabisa..

Mkuu Excel.
Hiyo Ndio Big Result Now Tena.
Thnx Kwa Ushauri Wako.
 
mku Excel.
Hiyo Ndio Big Result Nao Tena.
Thnx Kwa Ushauri Wako.

ila mkuu, aweza sema kwamba EGM inakubali kabisa, kwa sababu naona d ya sasa ni kama c ya zamani kwa sababu ya replacement ya E na B plain.. au unasemaje mkuu?

tusaidiane bana!!
 
Back
Top Bottom