Wakuu!.
Kwanza kabisa poleni na heka heka za kila siku za hapa mjini.
msaada kidogo!
nina ndugu yangu amehitimu kidato cha nne
alama zake za ufaulu ni;
B/math-C
Engl- C
Kiswa-B
Bios- D
Civ- D
Geo-D
Hist-E
DV III ya 31
je anaweza kwenda advance?.
kwa mchepuo upi wakuu?
asanteni kwa ushirikiano na poleni tena kwa usumbufu