wazanzibari wameichezea sana Tanganyika, tunahitaji katiba mpya na aina mpya ya muungano.View attachment 3346762
Kikosi chenu kimeonesha kuwa hapa JF mna kikindu cha kuuza siri za watu na leo mnafuta siri za watu
Sijaelewa waungwana....Ndio CCM wana ofisi zao.max kaamua kufuta jioni kila neno la ukweli